Job 22:6-9

6 aUmedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu;
umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi.
7 bHukumpa maji aliyechoka,
nawe ulimnyima chakula mwenye njaa,
8 cingawa ulikuwa mtu mwenye uwezo ukimiliki nchi:
mtu uliyeheshimiwa, ukiishi ndani yake.
9 dUmewafukuza wajane mikono mitupu
na kuzivunja nguvu za yatima.
Copyright information for SwhNEN